Aziz Ki amalizana na Yanga

Aziz Ki na Hersi

Mashindano ya EURO 2024 yanaendelea usikose kuzitazama mechi zote live bure kwenye simu yako bonyeza hapa kudownload app inayorusha mechi zote buree pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili pia utaweza kutazama chanel za azam tv na Dstv bureee bofya sasa

Taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa kiungo wa Yanga SC, Stephan Aziz Ki amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga ndani ya Jangwani.

Nyota huyo amesaini mkataba huo hapo jana mbele ya wakala wake bwana Zambro Traore na rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said.

Kwa sasa nyota huyo anaelekea mapumzikoni na atarejea klabuni hapo Kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA WAKUBWA UJIFUNZE MAUTUNDU YA KITANDANI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post