Azam watuma ofa kwa Mshery, Yanga watachomoa?

Abou-Twalib Mshery

Bonyeza hapa kudownload app itakayokuwezesha kutazama chanel za azam tv na dstv buree pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili pamoja mechi zote live buree bofya sasa kudownload

Azam FC imetuma ofa rasmi ya kuhitaji huduma ya Abou-Twalib Mshery kwenda kwa wakala wake George Job, ofa hiyo ikiwa imeshapokelewa na mazungumzo baina yao yameshaanza.

Nassib Mkobwa anaamini kuwa Mshery anahitaji nafasi zaidi ya kucheza ili apate nafasi ya kuwa Tanzania One.

Nassib Mkomwa aanathibitisha kuwa Mkataba wa Mshery unaisha mwishoni mwa mwezi huu.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post