Azam FC yajiondoa kushiriki Kagame 2024 - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam FC yajiondoa kushiriki Kagame 2024

Azam FC yajiondoa kushiriki Kagame 2024

Michuano ya EURO 2024 inaanza muda si mrefu usikose kutazama live mechi zote bure kabisa bonyeza hapa kudownload app itakayoonesha mechi zote live bure pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili pia utaweza kutazama chanel za azam tv na dstv buree kabisa bofya sasa kudownload

Uongozi wa Azam FC umethibitisha rasmi kujiondoa kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 ambayo inatarajiwa kuanza rasmi mnamo Julai 6 mpaka 22-2024 kwenye shindano litakalofanyika Tanzania Bara pamoja Zanzibar.

Akizungumza kwenye mahojiano maalum na EATV, Meneja  Habari na Mawasiliano wa Azam FC Thabit Zakaria amesema kutokana na uwepo wa ratiba ngumu inayowakabili kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2024-25 watashindwa kujiandaa kikamilifu kuelekea shindano la msimu huu.

"Tarehe hizo zitakuwa ngumu kwetu kutokana na wachezaji wote wanatakiwa kukaa pre session zaidi ya wiki sita na hii kwa mujibu wa kitalaamu timu iwe tayari kwa mashindano," amesema Meneja habari Azam FC, Zaka Zakazi.

Kwa upande mwingine,Thabit Zakaria maarufu kama  Zaka Zakazi amesema bado wanaendelea kuboresha kikosi chao kwa kufanya usajili wenye tija katika kuwasaidia kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali wanayokwenda kushiriki kwa msimu 2024-25.


Azam FC iliyomaliza nafasi ya pili ndani ya ligi kuu Tanzania Bara msimu 2023-24 inajiandaa kushiriki kwenye ligi ya mabingwa barani Afrika msimu 2024-25.

BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA XX ( WAKUBWA ) UJIFUNZE MAUTUNDU



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz