Alicho kisema Luis Miquissone baada ya kupewa mkono wa kwaheri na simba

 Alicho kisema  Luis Miquissone baada ya kupewa mkono wa kwaheri na simba

Leo michuano ya EURO 204 inaendelea mechi za kibabe zinapigwa usikose kuzitazama mechi zote live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote live bure pia kwenye app yetu utaweza kutazama muvi zilizobtafsiriwa kwa kiswahili pia utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv buree bonyeza 👉🏻👉🏻HAPA

Winga Luis Miquissone amewaaga wapenzi na wanachama wa klabu ya Simba baada ya uongozi wa klabu hiyo kuachana nae

Miquissone amesema katika kipindi alichoitumikia Simba amepewa heshima kubwa, ataendelea kuwa mfuasi wa Simba

"Nashukuru kwa kipindi chote ambacho nimekuwa hapa, ni jambo la kawaida kutoka timu moja kwenda nyingine katika kusaka changamoto mpya"

"Nimepata heshima kubwa hapa, nawahakikishia mimi nitaendelea kuwa mfuasi wa Simba," alisema Miquissone

Miquissone ni mchezaji wa nne kuachwa na Simba katika dirisha hili la usajili lililofunguliwa Juni 15

Wengine ni John Bocco, Saido Ntibazonkiza na Shaban Idd Chilunda

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post