Taarifa za ndani zinasema kuwa kiungo Mzambia, Clatous Chama amekubali kuendelea kubakia Simba SC kwa msimu ujao.
Taarifa za ndani zinasema kuwa kiungo Mzambia, Clatous Chama amekubali kuendelea kubakia Simba SC kwa msimu ujao. Chama alipokea ofa kutoka Yanga SC lakini walishindwana kwenye bei hali ambayo imemfanya staa huyo kurudi msimbazi tayari kwa kukiwasha msimu ujao.
Post a Comment