Uwezekano wa aliekuwa mlinzi wa Yanga, Djuma Shaban Kujiunga na Simba SC ni Mkubwa,
Mlinzi huyo wa kulia wa zamani wa klabu ya Yanga ameingia kwenye mazungumzo na Uongozi wa klabu ya Simba.
Taarifa kwa Djuma Shaban kuhitajika ndani ya klabu ya Simba zilianza kusambaa jana Mei 6, ingawa mazungumzo ya Maslahi, Ada ya usajili na Stahiki zingine yamepangwa kuanza siku ya leo Jumanne.
Lolote linaweza kutokea
Post a Comment