Kiungo wa Simba SC, Mzamiru Yassin huenda msimu huu 2023- 2024 ukawa wa mwisho kwake kuonekana katika kikosi Simba SC kutokana na uongozi kutoridhishwa na kiwango chake kwa hivi sasa.
Mzamiru ambaye ni mchezaji mkongwe ndani ya Yanga, mkataba wake unatarajiwa kutamatika mwishoni mwa msimu huu na amekuwa mchezaji ambaye hapewi nafasi ya kuanza mara kwa mara kama ilivyokuwa msimu uliopita.
Je unaliona pengo la Mzamiru Simba SC?
Post a Comment