Inaelezwa kuwa, Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji kutokea katika klabu ya Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka 2.
Inaelezwa kuwa, Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji kutokea katika klabu ya Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka 2. Viongozi wa klabu ya Yanga sc walipata nafasi ya kuitembelea familia ya Yusuph Kagoma hapa kigoma na kuwajulisha kuwa Yusuph kagoma ataichezea Yanga msimu ujao na Familia yake imetoa baraka kwake.
Post a Comment