Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema Tuzo za TFF sasa zitakuwa zikifanyika wakati wa michezo ya Ngao ya Jamii ili kufanya tukio hilo kuwa bora zaidi na kukidhi malengo na mahitaji yake.
TFF imeeleza kuwa hafla ya tuzo hizo kwa msimu wa 2023/2024 itafanyika wakati wa michezo ya Ngao ya Jamii kufungua msimu wa 2024/2025.
Post a Comment