Tumeshinda Tuzo ya Klabu Bora ya Michezo inayotumia Digitali kwa Ufanisi (Digital Sports Club of the Year).
Tulikuwa tunawania tuzo hii na Azam FC, Young Africans, Mtibwa Sugar na Mashujaa FC.
Hii inakuwa mara ya pili kwa Simba SC kushinda tuzo hii. Shukrani kwa watu wote waliotupigia kura na kufanikisha kushinda tuzo hii.
Pia mchezaji wetu Aishi Manula ameshinda Tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Mwaka (Digital Athlete of the Year).
Post a Comment