Wakati Vita ya nafasi ya pili kati ya Simba na Azam ikizidi kuacha maswali mengi yasiyo na majibu.
Shabiki wa Simba Kay Mziwanda anaona kuwa Simba wanastahili kuipata nafasi hiyo kwa kuwa Kimataifa wana rekodi nzuri kuliko Azam FC.
Msikilize Kay akizungumza kwenye Video hapa chini;
Post a Comment