Kocha José Mourinho ameingia mkataba wa miaka miwili na klabu ya Fenerbahce ya Uturuki aliyowahi kucheza nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta.
Kocha José Mourinho ameingia mkataba wa miaka miwili na klabu ya Fenerbahce ya Uturuki aliyowahi kucheza nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta. Kocha huyo aliyeachana na AS Roma ya Italia katikati ya msimu uliopita atajiunga na kikosi hicho cha Mabaharia wa Uturuki katika maandalizi ya msimu mpya.
Post a Comment