Klabu ya Yanga SC imemuongezea Mkataba wa Mwaka Mmoja Kiungo wao Jonas Gerald Mkude.
Klabu ya Yanga SC imemuongezea Mkataba wa Mwaka Mmoja Kiungo wao Jonas Gerald Mkude. Mkataba Wa yanga na Mkude ulikuwa utamatike mwishoni mwa msimmu huu Sasa rasmi amesaini Mkataba Wa mwaka Mmoja kuendeleaaa kuwatumikia yanga Sc.
Post a Comment