"Kombe letu la Shirikisho tunalipendea" Ahmed Ally ambaye ni afisa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii.
Ahmed ameyasema hayo ikiwa ni siku chache baada ya Klabu ya Simba kudondokea katika Mashindano hayo ya pili kwa ukubwa Barani Afrika ikimaliza msimu wa 2023\24 kwa kuambulia nafasi ya tatu nyuma ya Azam Fc na Mabingwa Yanga Sc
Unaipa nafasi gani Simba katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika msimu ujao?
Post a Comment