Beki wa kulia wa Yanga SC, Yao Kouassi raia wa Ivory Coast jana ameyatazama mazoezi ya mwisho ya timu hiyo akiwa jukwaani, huku yeye akishindwa kufanya mazoezi hayo.
Yanga SC leo itashuka dimbani kucheza dhidi ya Mamelodi Sundowns majira ya saa 2:00 usiku kwa saa za Afrika Kusini sawa na saa 3:00 kwa Tanzania.
Mambo machache aliyogusia Yao ni kuwa bado ana imani na wachezaji wenzake na leo watapata ushindi, lakini pia hajaridhishwa na nyasi za uwanja huo akidai sio salama kwa wachezaji.
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment