Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Yanga, Joyce Lomalisa Mutambala huenda akaondoka mwishoni mwa msimu huu.
Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Yanga, Joyce Lomalisa Mutambala huenda akaondoka mwishoni mwa msimu huu. Klabu ya Yanga tayari imeanza maandalizi ya kuiziba nafasi ya nyota huyo raia wa Congo DR kwa kumtazama kwa karibu mlinzi wa Kushoto wa Asec Mimosa Franck Zouzou.
Post a Comment