Wababe nane waliotinga robo fainali FA Cup

Usikose kuitazama mechi ya Yanga vs Singida Fg live bure mechi ya ligi kuu tz bara bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii mubashara bure yaani utaitazama mechi hii live bure kupitia simu yako bofya sasa
 
Jana Yanga ilikamilisha idadi ya timu nane zilizofanikiwa kutinga robo fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji

Unaweza kusema Wananchi wamebakisha dakika 270 tu kama watachanga karata zao vyema, watalirejesha taji hilo Jangwani kwa msimu wa tatu mfululizo

Timu nyingine zilizofuzu robo fainali ni Namungo Fc, Geita Gold, Tabora United, Coastal Union na Ihefu Fc

Nyingine ni Azam Fc na Mashujaa ambao waliitupa nje Simba

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post