Beki wa mpira na Nahodha wa Klabu ya Yanga SC Bakari Mwamnyeto anamaliza Mkataba wake na waajiri wake hao na sasa ameanza mazungumzo mpya ya kuongeza Mkataba mpya.
Mbali na Yanga, Mwamnyeto tayari ana ofa mbalimbali kwa vilabu vingine ikiwemo Simba SC ambavyo vimeonyesha nia ya kuhitaji huduma yake.
Aendelee kuvaa uzi wa njano na kijani au nyekundu na nyeupe?
Post a Comment