Maamuzi yamefikiwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah Try Again amekubali kuwa ataachia ngazi kwenye nafasi hiyo.
Maamuzi yamefikiwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah Try Again amekubali kuwa ataachia ngazi kwenye nafasi hiyo. Barbara Gonzalez anatarajiwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi akichukua nafasi ya Try Again.
Post a Comment