Klabu ya Simba itamenyana na wenyeji, KVZ katika Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi Jumatano ya Aprili 24 Uwanja wa New Amaan Complex visiwani, Zanzíbar wakati Azam FC itaanza na KMKM Alhamisi.
Klabu ya Simba itamenyana na wenyeji, KVZ katika Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi Jumatano ya Aprili 24 Uwanja wa New Amaan Complex visiwani, Zanzíbar wakati Azam FC itaanza na KMKM Alhamisi. Washindi wa mechi za Nusu Fainali watakutana katika Fainali Aprili 27 hapo hapo Amaan Complex.
Post a Comment