Ni Kariakoo Derby katika Ligi Kuu ya Wanawake leo Alhamisi Saa 10:00 jioni, Yanga Princess kuwakaribisha Simba Queens katika dimba la Azam Complex.
Ni Kariakoo Derby katika Ligi Kuu ya Wanawake leo Alhamisi Saa 10:00 jioni, Yanga Princess kuwakaribisha Simba Queens katika dimba la Azam Complex. Katika mechi ya mzunguko wa kwanza Simba Queens waliibuka na ushindi. Je, ni Simba Queens tena ama Yanga Princess kulipa kisasi? Tusubiri.
Post a Comment