Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba inasema Klabu hiyo imeamua kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiungo wao Mzamiru Yassin maarufu kama kiungo Punda, ili aendelee kukipiga Msimbazi.
Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba inasema Klabu hiyo imeamua kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiungo wao Mzamiru Yassin maarufu kama kiungo Punda, ili aendelee kukipiga Msimbazi. Mzamiru amekuwa na wakati mgumu siku za karibuni kupata namba katika kikosi cha Simba lakini amekuwa na kiwango bora kila anapopata nafasi kikosini.
Post a Comment