Watangazaji Baraka Mpenja na Gharib Mzinga ndio wanaotarajia kuutangaza mchezo wa dabi wa Yanga SC na Simba SC Jumamosi hii Aprili 20, 2024.
Watangazaji Baraka Mpenja na Gharib Mzinga ndio wanaotarajia kuutangaza mchezo wa dabi wa Yanga SC na Simba SC Jumamosi hii Aprili 20, 2024. Mchezo huo unatarajia kupigwa kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar mchezo ambao unabeba hisia za mashabiki wengi wa soka nchini.
Post a Comment