Meneja wa Habari na Mawasiliano Klabu ya Simba Ahmed Ally amesema wachezaji wa timu hiyo watapata nguvu ya mashabiki kwenye mchezo wa robo fainali ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly mchezo utakaopigwa kesho nchini Misri.
Ahmed ameeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umefanya utaratibu wa kuwapata mashabiki 250 ambao wanaamini watakuwa chachu ya ushindi siku ya kesho
Post a Comment