Wakati joto la Dabi ya Kariakoo likizidi kupamba moto kuelekea mchezo huo utakaopigwa Kesho Aprili 20 Uwanja wa Mkapa.
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amewatahadharisha wapinzani wao kuelekea mchezo huo mkubwa nchini.
Akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari Gamondi anasema;
"Wanapaswa kuja kucheza ili washinde mechi na sio kulipa kisasi, kama wanakuja kulipa kisasi litakuwa kosa kubwa sana, timu inapaswa kucheza ili ishinde pekee na sio kisasi”
Post a Comment