Kocha Azam FC Youssouffa Dabo amesema kuwa anataka kuushawishi uongozi wa klabu hiyo umsajilie nyota wa Yanga SC ambao ni Stephan Aziz Ki, Clement Mzize, Djuigi Diara pamoja na Khalid Aucho kuelekea msimu ujao.
Kocha Azam FC Youssouffa Dabo amesema kuwa anataka kuushawishi uongozi wa klabu hiyo umsajilie nyota wa Yanga SC ambao ni Stephan Aziz Ki, Clement Mzize, Djuigi Diara pamoja na Khalid Aucho kuelekea msimu ujao. Kocha huyo ameyazungumza hayo jana wakati akizungumza na vyombo vya Habari baada ya mchezo wa dhidi ya Ihefu FC ambapo walipata ushindi wa goli 1-0.
Post a Comment