CRDB yaingia mkataba na TFF wa Bil. 3.76 kombe la FA

CRDB yaingia mkataba na TFF wa Bil. 3.76 kombe la FA

Kudadeki unaanzaje kukosa mechi ya Mamelodi vs yanga bonyeza hapa kudownload app itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii Live bureee kabisa bofya sasa kuipakua mapema kabisa ili kuepuka usumbufu siku ya mechi

Bank ya CRDB na TFF imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitatu na nusu na CRDB itatoa shilingi Bilioni 3.76 kwa kipindi chote cha miaka mitatu na nusu.

Kwa msimu huu watatoa dollars laki moja sawa na shilingi milioni 255.

Na kwa sasa Kombe la FA litaitwa CRDB BANK FEDERATION CUP.

Mchanganuo wa Kiasi cha Billion 3.76 ni ikiwemo na makato ya kodi.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post