Kituo cha Habari cha Azam TV kimefuta mahojiano waliyofanya na mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele katika kurasa zake zote za mitandao ya kijamii baada ya klabu ya Yanga kuripotiwa kuitaka Azam TV kufanya hivyo.
Kituo cha Habari cha Azam TV kimefuta mahojiano waliyofanya na mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele katika kurasa zake zote za mitandao ya kijamii baada ya klabu ya Yanga kuripotiwa kuitaka Azam TV kufanya hivyo. Mahojiano hayo yaliyonukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari nchini yalijikita katika kuichafua klabu ya Yanga pamoja na mpira wa Tanzania kiujumla na kuzua mjadala mkubwa miongoni mwa wafuasi wa soka.
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment