Vilabu vya Yanga na Kaizer Chiefs Vimebisha hodi kunako klabu ya Cape Town City kuulizia Kuipata huduma ya mshambuliaji wao Khanyisha Mayo.
Vilabu vya Yanga na Kaizer Chiefs Vimebisha hodi kunako klabu ya Cape Town City kuulizia Kuipata huduma ya mshambuliaji wao Khanyisha Mayo. Mayo kwa sasa ndiye mfungaji kinara wa ligi ya Dstv ya Afrika kusini akiwa tayari kishafunga magoli 11 msimu huu.
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPAz
Post a Comment