Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Klabu ya Yanga imepangwa na Timu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika ya Kusini hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Yanga walikuwa na nafasi ya kukutana na wapinzani watatu ambao ni Asec Mimosas, Mamelodi Sundowns na Petro Atletico De Luanda.
Je Unadhani Yanga wana nafasi ya kutoboa nusu Fainali mbele ya Mamelodi? Tupe maoni yako
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment