Waliokosekana Yanga S kwenye mechi iliyopita wakiongozwa na golikipa Djigui Diarra, Pacome, Musonda na Guede leo watakuwepo dhidi ya Ihefu FC.
Waliokosekana Yanga S kwenye mechi iliyopita wakiongozwa na golikipa Djigui Diarra, Pacome, Musonda na Guede leo watakuwepo dhidi ya Ihefu FC. Ni mechi ya kisasi, Yanga wakikumbuka kichapo cha 2-1 walichopata kwenye mchezo wa kwanza hivyo leo wamepanga kulipa kisasi.
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment