Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Singida Fountain Gate, Bruno Gomes Barossa amejiunga na Klabu ya Athletic Club Futbol inayoshiriki Ligi Daraja la nne kwenye ngazi za Madaraja ya Ligi nchini Brazil.
Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Singida Fountain Gate, Bruno Gomes Barossa amejiunga na Klabu ya Athletic Club Futbol inayoshiriki Ligi Daraja la nne kwenye ngazi za Madaraja ya Ligi nchini Brazil. Bruno Gomes ambaye ni raia wa Brazil hivi karibuni alivunja Mkataba na iliyokuwa klabu yake ya Singida FountainGate baada ya kufikia makubalino ya pande zote kufuatia mchezo huyo kuomba kuondoka klabuni hapo.
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment