Orodha ya Kombi Mpya kidato cha tano 2024 | Tahasusi Mpya kidato cha tano
Unatafuta kuhusu Kombi Mpya kidato cha tano 2024, Orodha ya Combination Mpya kidato cha tano 2024 ,Tahasusi Mpya kidato cha tano, Orodha ya tahasusi za kidato cha tano zitakazotumika, Combination za kidato cha tano 2024, Kombi mpya form five 2024, combination mpya za form five science, Kombination za art form five 2024, Kombi za Biashara form five?
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Kombi hiz mpya zitaanza kutumika mwezi july 2024 kwa mujibu wa waziri wa Tamisemi, Mh, Mohamed Omary Mchengerwa.
See also Tangazo Tamisemi Ajira za walimu 2024/2025
A: TAHASUSI ZA SAYANSI YA JAMII | Kombi za Social Science
1. History, Geography and Kiswahili (HGK)
2. History, Geography and English Language (HGL)
3. History, Geography and French (HGF)\
4. History, Kiswahili and English Language (HKL)
5. History, Geography and Arabic (HGAr)
6. History, Geography and Chinese (HGCh)
7. History, Geography and Economics (HGE)
8. History, Geography and Fasihi ya Kiswahili (HGFa)
9. History, Geography and Literature in English (HGLi)
B: TAHASUSI ZA LUGHA | Kombi za Lugha advance
1. Kiswahili, English Language and French (KLF)
2. Kiswahili, English Language and Arabic (KLAr)
3. Kiswahili, English Language and Chinese (KLCh)
4. Kiswahili, Arabic and Chinese (KArCh)
5. Kiswahili, Arabic and French (KArF)
6. English Language, French and Arabic (LFAr)
7. English Language, French and Chinese (LFCh)
8. French, Arabic and Chinese (FArCh)
9. History, English Language and French (HLF)
10. History, English Language and Arabic (HLAr)
11. History, English Language and Chinese (HLCh)
C: TAHASUSI ZA MASOMO YA BIASHARA | Kombi za Biashara
1. Economics, Business Studies and Accountancy (EBuAc)
2. Economics, Geography and Mathematics (EGM)
3. Economics, Commerce and Accountancy (ECAc)
4. Economics, Computer Science and Mathematics (ECsM)
5. Business Studies, Accountancy and Computer Science (BuAcCs)
6. Business Studies, Accountancy and Mathematics (BuAcM)
7. Economics, Business Studies and Islamic Knowledge (EBuI)
D: TAHASUSI ZA SAYANSI | Kombi za Science
1. Physics, Chemistry and Mathematics (PCM)
2. Physics, Chemistry and Biology (PCB)
3. Physics, Geography and Mathematics (PGM)
4.Chemistry, Biology and Geography (CBG)
5. Physics, Mathematics and Computer Science (PMCs)
6. Chemistry, Biology and Agriculture (CBA)
7. Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition (CBN)
E: TAHASUSI ZA MICHEZO | Kombi za Michezo
1. Biology, Food and Human Nutrition and Sports (BNS)
2. English Language, Music and Sports (LMS)
3. Kiswahili, Music and Sports (KMS)
4. Fasihi ya Kiswahili, Music and Sports (FaMS)
5. Literature in English, Music and Sports (LiMS)
6. French, Music and Sports (FMS)
7. Arabic, Music and Sports (ArMS)
F: TAHASUSI ZA SANAA | Kombi Art
1. Kiswahili, English Language and Theatre Arts G(KLT)
2. Kiswahili, French and Theatre Arts (KFT)
3. Fasihi ya Kiswahili, English Language and Theatre Arts (FaLT)
4. Kiswahili, Literature in English and Theatre Arts (KLiT)
5. Kiswahili, English Language and Music (KLM)
6. Kiswahili, French and Music (KFM)
7. Fasihi ya Kiswahili, English Language and Music (FaLM)
8. Kiswahili, Literature in English and Music (KLiM)
9. Kiswahili, English Language and Fine Art (KLFi)
10. Kiswahili, French and Fine Art (KFFi)
11. Fasihi ya Kiswahili, English Language and Fine Art (FaLFi)
12. Kiswahili, Literature in English and Fine Art (KLiFi)
13. Kiswahili, Textile and Garment Construction and Fine Art (KTeFi)
14. English Language, Textile and Garment Construction and Fine Art (LTeFi)
15. Arabic, Textile and Garment Construction and Fine Art (ArTeFi)
16. Chinese, Textile and Garment Construction and Fine Art (ChiTeFi)
Tazama pia Mfumo wa Maombi ya Ajira za walimu 2024 OTEAS login
G: TAHASUSI ZA ELIMU YA DINI | Kombi za Dini
1. Islamic Knowledge, History and Geography (IHG)
2. Divinity, History and Geography (DHG)
3. Islamic Knowledge, History and Arabic (IHAr)
4. Divinity, History and English Language (DHL)
5. Islamic Knowledge, History and English Language (IHL)
6. Divinity, History and Kiswahili (DHK)
7. Islamic Knowledge, History and Kiswahili (IHK)
8. Divinity, Kiswahili and English Language (DKL)
Download Tangazo la Combination Mpya kidato cha tano pdf hapa
Ni furaha yetu kuwa umepata kuona taarifa zote kuhusu Orodha ya Combination Mpya kidato cha tano 2024 ,Tahasusi Mpya kidato cha tano, Orodha ya tahasusi za kidato cha tano zitakazotumika, Combination za kidato cha tano 2024, Kombi mpya form five 2024.
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment