Mchambuzi wa Michezo kutoka Efm, Wilson Oruma ameshangazwa kwa kitendo cha mlinzi wa Yanga Dickson Job kutofungiwa baada ya kile kinachoelezwa kumgomea Mwalimu wa Stars katika mchezo dhidi ya Congo mashindano ya AFCON.
Oruma aliandika;
"Mpaka sasa Dickson Job anachotakiwa kushukuru ni TFF hawajamfungia Kabisa kucheza Taifa Stars
Lakini alichokifanya kukataa kucheza Mechi Muhimu ya AFCON dhidi ya Dr Congo huku tayari akiwa ameshachukua Posho ambayo ni kutokana na Kodi zetu ni USALITI.
UNACCEPTABLE
Baada ya andiko hili Mchambuzi wa Michezo kutoka Wasafi FM, GeORGE jOB ambae pia ni Msimamizi wa Dickson Job amemjibu Oruma kwa kuandika;
"Hujui hata robo ya sakata hili na bado unajiona uko kwenye nafasi ya kumuita mtu MSALITI. Usisubiri TFF hata wewe unaweza kumfungia".
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPAz
Huyu George Job ni mshamba sana anayejifanya anajua sana. Pumbavu sana
ReplyDeletePost a Comment