Huyu hapa Mwamuzi Abongile Tom (32) kutoka Afrika Kusini ndiye ataamua mchezo wa leo kati ya Simba SC dhidi ya Al Ahly SC ya Misri.
Mwamuzi huyu wa kimataifa amekuwa akitumika zaidi katika mechi mbalimbali za kimataifa ikiwemo michuano ya AFCON iliyofanyika Ivory Coast mwaka huu.
Abongile ndiye aliamua mchezo wa hatua ya makundi ya #CAFCL kati ya Wydad AC dhidi ya Simba SC iliyopigwa Desemba, 2023 nchini Morocco na kumalizika kwa 1-0 goli la dakika za Jioooni.
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment