Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Mwezi Februari wa Ligi Kuu ya NBC.
Gamondi ameiongoza Yanga katika michezo mitano ya Ligi kwa mwezi Februari akishinda michezo minne na kutoa sare mchezo mmoja.
Gamondi ameshinda tuzo hiyo akiwapiku Kocha Abdelhak Benchikha wa Simba na Ahmad Ally wa Tanzania Prisons.
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment