Bonyeza hapa kudownload app yetu ili uweze kutazama mechi ya Simba vs Mashujaa fc live bure kabisa
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali zinasema Aliekuwa Mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube amezikataa Ofa za klabu ya Al Hilal ambayo ni zaidi ya milioni 500 za Kitanzania na ya klabu ya Simba zaidi ya milioni 380 za Kitanzania ambapo mchezaji huyo hataki kuuzwa na klabu kusudio lake ni kuvunja mkataba na Azam ili awe huru ajiunge na timu yoyote anayoitaka yeye.
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali zinasema Aliekuwa Mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube amezikataa Ofa za klabu ya Al Hilal ambayo ni zaidi ya milioni 500 za Kitanzania na ya klabu ya Simba zaidi ya milioni 380 za Kitanzania ambapo mchezaji huyo hataki kuuzwa na klabu kusudio lake ni kuvunja mkataba na Azam ili awe huru ajiunge na timu yoyote anayoitaka yeye. Unadhani Dube ana mipango ya kujiunga na Timu gani?
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPAz
Post a Comment