Mpaka sasa katika Klabu Bingwa Afrika ni timu mbili tu (2) ambazo zinasubiriwa kufuzu ili ziungane na 6 zilizotangulia ili kukamilisha idadi ya timu 8 kukamilisha hatua ya robo fainali.
Mpaka sasa bado timu (2) hazijafuzu robo fainali CAF-CL kukamilisha timu nane (8).
Kundi (A)
1. Alama 10 — TP Mazembe ☑️
2. Alama 10 — Mamelodi ☑️
3. Alama 04 — Nouadhibou
4. Alama 04 — Pyramids
Kundi (B)
1. Alama 11 — ASEC Mimosas ☑️
2. Alama 06 — Simba SC
3. Alama 06 — Wydad Athletic
4. Alama 04 — Jwaneng Galaxy
Kundi (C)
1. Alama 09 — Petro Atletico ☑️
2. Alama 08 — Esperance
3. Alama 05 — Al-Hilal
4. Alama 04 — Etoile du Sahel
Kundi (D)
1. Alama 09 — Al-Ahly ☑️
2. Alama 08 — Young Africans ☑️
3. Alama 05 — CR Belouizdad
4. Alama 04 — Medeama
Timu zilizofuzu mpaka sasa;
1. Young Africans SC
2. TP Mazembe
3. Mamelodi Sundowns
4. ASEC Mimosas
5. Petro Atletico
6. Al-Ahly Cairo
7. ________
8. ________
Kama msimamo wa makundi ukibaki kama ulivyo Yanga SC watakutana na moja ya timu hizi hatua ya Robo fainali CAF-CL.
TP Mazembe
ASEC Mimosas
Petro Atletico
Yanga wanaongoza kwa idadi ya mabao ligi kuu Tanzania, lakini pia mpaka sasa wanaongoza kwa mabao ya kufunga kwenye group stage CAF-CL katika magroup yote.
Mpaka sasa Yanga wanaongoza kwa idadi kubwa ya mabao Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa na mabao 9 na ndio timu pekee iliyofikisha idadi hiyo ya mabao katika hatua ya makundi.
Post a Comment