Pitso ashinda kesi FIFA, kulipwa Bilioni 2

Pitso Mosimane

USikose kuitazama mechi ya Simba vs Jwaneng Galaxy live bure kupitia simu yako download app yetu Kwa KUBOFYA hapa Ili usipitwe na mechi hii

Aliyekuwa kocha wa Mamelod Sundowns, Al Ahly ambaye alitimkia kufundisha Uarabuni Pitso Mosimane ameshinda kesi aliyoifungua kwenye mahakama ya usuluhishi wa michezo CAS dhidi ya klabu ya Al Ahli Jeddah ya Saudi Arabia ambayo aliisaidia kupanda daraja kabla hawajaachana naye msimu jana.

Aliyekuwa kocha wa Mamelod Sundowns, Al Ahly ambaye alitimkia kufundisha Uarabuni Pitso Mosimane ameshinda kesi aliyoifungua kwenye mahakama ya usuluhishi wa michezo CAS dhidi ya klabu ya Al Ahli Jeddah ya Saudi Arabia ambayo aliisaidia kupanda daraja kabla hawajaachana naye msimu jana. Baada ya maamuzi kutoka, Klabu hiyo italazimika kumlipa Pitso zaidi ya Rand 22 milioni ambazo ni karibu Bilioni 3 kwa shilingi ya Tanzania.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post