Ally Kamwe awatupia dongo Simba

 Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe

Wakati wakiwa na kumbukumbu nzuri ya ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya CR Belouzdad ya nchini Algeria.

USikose kutazama Mechi ya Al ahly vs Yanga live bure kupitia simu yako download app yetu kutazama Mechi hii Bure Bonyeza hapa sasa kuidownload

Mseamji wa Yanga Ally Kamwe amesema kwa sasa wao hawana muda wa kubisha na yoyote na badala yake wanajiandaa kufanya vyema katika mchezo wa ugenini dhidi ya Al Ahly.

Akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari Kamwe anasema;

“Yanga Mpira tumeutoa mdomoni na kuuweka Mguuni, sisi sio kama wale na ndio maana jumamosi mliona Belouizdad wanalaumiana wenyewe kwa kuzidiwa uwanjani lakini sio kwa mambo ya nje ya uwanja kama kuloga n.k”

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post