Ahmed Ally: Hakuna tiketi za bure, tununue tiketi tujae uwanjani

Ahmed Ally: Hakuna tiketi za bure, tununue tiketi tujae uwanjani

USikose kuitazama mechi ya Simba vs Galaxy live bure kabisa kupitia simu yako download app yetu mapema kutazama Mechi hii bonyeza hapa Sasa kuidownload bure

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewataka mashabiki wa Simba kununua tiketi kwani hakutakuwa na tiketi za bure.

Amesema hakutakuwa na tiketi za bure na amewahi kuzungumza na watani zao akiwaambia waache kugawa tiketi bure kwa sababu inawaharibu mashabiki.

Ahmed amesisitiza hakutakuwa na fungulia dog hata kama uwanja haujajaa na mashabiki wanaotoka mikoani wanunue tiketi mapema kuepuka lawama wanapofika siku ya mechi na kukosa tiketi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post