Mke alalamika mume kukojoa kitandani miaka 15, tiba yapatikana!

Mke alalamika mume kukojoa kitandani miaka 15, tiba yapatikana!

Mke alalamika mume kukojoa kitandani miaka 15, tiba yapatikana!

Mume wangu alinitoa nyumbani nikiwa na miaka 20 na hivi sasa nimetimiza miaka 35, hivyo nipo kwenye ndoa kwa miaka 15. Katika ndoa yangu nimekutana na raha, shida na tabu za namna mbalimbali katika maisha yangu ya ndoa.

Kuna muda mwenyewe nalijiuliza hivi ninayokutana nayo kwenye ndoa yangu na wanawake wengine wanakutana nayo au la!. kuna muda nafikiria kutoka kwenye ndoa ila nikiomba ushauri kwa wale walionitangulia nashindwa kupata uwamuzi sahihi, nabaki kama bendera ambayo ufuata upepo.

Nasema hivyo kwa sabubu sina msimamo nabaki kusubiri kipi kesho kitatokea, ndani ya miaka hiyo 15 nimepata watoto wawili wa kiume, watoto ambao ndio wamenifanya mama yao niwe na msimamo hadi sasa kutokana na upendo nilio nao kwao.

Kwa upande wangu nahisi nikitoka kwa baba yao watoto wangu watateseka kwa namna moja au nyingine, pia najiuliza nikiondoka watoto wangu wataweza kupata malezi ambayo mimi kama mzazi wao nayataka?. Jibu ni hapana!.

Sababu kubwa ambayo imenifanya nifikirie hayo yote ni kukidhiri kwa tabia ya mume wangu ya kukojoa kitandani, tabia yake ya kukojoa kitandani nimevumilia kwa miaka 15 ila nimefika hatua nahisi nimechoka kabisa.

Nakiri kuwa hakuna binadamu mkamilifu kwani hata mimi kuna mapungufu niliyonayo ila kuna mapungufu ambayo unaweza vumilia na kuna mapungufu ambayo ni vigumu kuvumilia na ukivumilia basi kila siku utakuwa mwenye huzuni.

Hivyo nimekuwa mtu mwenye uzuni katika ndoa yangu tangu siku ambayo nilitoka nyumbani na kuolewa, nasema hivyo kwa sababu nikiwa katika mahusiano na mume wangu lakini hakuniambia kama ana tatizo la kukojoa kitandani.

Nilikuwa sijawahi pata nafasi ya kulala naye hadi asubuhi ndio maana sikuweza kutambua kuwa ana shida ya namna hiyo hadi nilipoolewa. Siku hiyo hiyo asubuhi yake nilikuta godoro lote limejaa mkojo.

Nilipomuuliza mume wangu kuhusu nilichokiona kitandani hakushangaa zaidi aliniambia tutalianika godoro na litakauka. Baada ya mwezi mmoja tangu anioe tabia ya kukojoa kitandani ilikuwa hivyo hivyo.

Nilitamani kurudi nyumbani ila ingekuwa aibu kubwa kwa familiya yangu kurudi nyumbani kwetu bila kumaliza hata mwaka mmoja kwenye ndoa. Hata hivyo, wazazi wangu hawakuwa tayari mimi kurudi nyumbani.

Nilivumilia, hatimaye nikapata mimba hadi nikajifungua mtoto wetu wa kwanza, kwa akili zangu mimi mwenyewe nilijisemea kuwa mtoto wangu akifikisha miaka mitano nitaondoka nirudi nyumbani kwetu au nitafute kazi ya kufanya bila kujua kuwa sisi binadamu unapanga kitu na Mungu anakupangia kingine.

Kwa ufupi kabla ya miaka mitano kutimia nilipata mimba ya mtoto wa pili na tayari nimeishajifungua hivyo mzigo unazidi kuongezeka kila kukicha japo moyo wangu unauma sana. Sina raha katika ndoa yangu kwa sababu ukifika wakati wa kulala kwangu ni mateso tu.

Sasa hivi nipo na watoto wawili, siwezi kwenda nao kwa sababu sina uwezo wa kuwapatia chakula pia wanahaki ya kupata malezi ya baba yao pia.

Hivi karibuni ikabidi nimwambie shangazi yangu mpendwa Jerida, shangazi alinipa ushauri wa kutosha na mwisho akahitimisha kwa kusema kuwa nivumilie kwa sababu kwenye kila ndoa kuna changamoto zake.

Hata hivyo, alinipatia namba za African Doctors na kuniambia hao ni wataalam wa tiba asilia wanaweza kunisaidia, niliwezza kuwasiliana nao na wakanitumia dawa ambayo nilimpa mume wangu na ndani ya muda mfupi tu aliweza kupona. Kwa sasa naishi katika ndoa yangu kwa raha na burudani.

African Doctors wanasifika Afrika Mashariki, Afrika ya kati na Afrika kwa ujumla kutokana na huduma zao bora, wanatibu magonjwa sugu kama sukari, pressure, kisonono na kaswende, pia wanatatua shida tofauti kama kumrudisha mpenzi wako aliyekuacha, kupata mume au mke wa ndoto zako n.k.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com

Mwisho.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post