Mke wangu alining'ata uume hadi ukawa haufanyi kazi!
Tuliishi kwa upendo baina
yangu na mke wangu, tuliaminiana kwenye ndoa na kila mmoja wetu alipotaka
kufanya jambo kwa mfano kufungua biashara mpya tungejadialiana kwa pamoja bila
ya mvutano wowote.
Hali ilikuwa shwari kabisa katika ndoa yetu kwani hakuna lolote lililotukwaza kama wapenzi, mambo yalianza tu kubadilika wakati ambapo mke wangu alipata tenda ya kusambaza vyakula katika ofisi za Kauti tuliyokua tukiishi naye kwa wakati ule.
Nilianza kutilia shaka
uhusiano wetu kwa sababu alianza kupokea simu nyingi zaidi hata wakati wa
usiku, mara nyingi alijificha ila kuzunngumza na waliompigia simu.
Sikufurahishwa kabisa na tabia ile kwani nilijiambia moyoni alikuwa na mipango
ya kando aliyoipata kazini pale.
Sikusita kumuuliza mbona
alikuwa amebadilika kwa namna ile kwa sababu tabia ile haikunifurahisha kama
mume wake halali kulingana na vyeti vya ndoa tulivyopokea kanisani.
Nilitaka afanye mambo
hadharani kama yalikuwa ni halali lakini tabia ya kujifugia chooni anapopigiwa
simu ama kutoka nje ya nyumba kila mara simu inapoita iliendelea kwa muda.
Sikuwa na budi kama
kiongozi wa nyumba kuwa na msimamo dhabiti na kukomesha tabia ile kwani
niligundua fika ingeniharibia ndoa yangu ambayo ilikua ingali changa, kwani
tulikua tu tumeaona kwa muda wa miezi minane.
Muda ulivyosonga, alianza
kuja nyumbani usiku wa manane na nilipomuuliza alipokuwa ilikuwa ni vurugumechi
ndani ya nyumba yetu, ilikuwa ni kutupiana makonde na aliye na nguvu ndiye
aliyeibuka kulala nyumbani.
Hali ilikuwa mbaya zaidi
kwani nilipata nimemjeruhi vibaya pia naye hakuachwa nyuma kwani alama
alizonipa zilinitia kiwewe, kwani ilikua vigumu hata kukodi gari kuelekea
kazini kwani ungedhani nilikua nimepata ajali ya kugongwa na gari moshi.
Majirani walibaki kuona
sinema ya bure kwani wengi wao walifurahia mke wangu akinipiga makonde na kila
mara aliponilemea walishangilia kwa furaha.
Ama kwa hakika ilikuwa ndoa
iliyokua si ya kutamaniwa na mtu yeyote ambaye alikuwa na mipango ya kuoa
karibuni, tulijaribu kuzungumza na wazazi ile tupate suluhisho la migogoro yetu
ya kila mara lakini yote yaliambulia patatupu kwani hamna lolote ambalo
tulizingatia.
Tabia ya mke wangu
ilinichosha hapo nikajitosa kwenye ulevi, kila nilipo toka kazini nilipitia kwa
mama Pima ili nibugie pombe ili inipe ujasiri wa kumkabili mke wangu kwani yeye
pia alikuwa ni kisiki.
Siku moja nilikua nimelewa
chakari, nilipoingia chumbani nilimkuta mke wangu ametulia hali ambayo haikua
ni kawaida yake, nilidhani kuwa alikua na maumivu kwani haikuwa kawaida yake
kutulia vile. Aliandaa chakula tukala, nilitangulia kwenda kulala chumbani
kwani nilikuwa nimepiga maji ajabu.
Alionekana kabadilika kwani
hakuwa na mengi ya kuongea, usiku mwendo kama saa nane hivi nilishtushwa
usingizini na unyevunyevu ambao uliandamana na uchungu fulani katika uume
wangu. Alikuwa amening’ata na damu ilikuwa imelowa kitandani. Nililia kwa
uchungu kwa sababu pombe ilikua imenitoka akilini. Majirani waliwasili
kunisaidia ambapo nilikua nimevuja damu nyingi.
Hospitalini nilifanyiwa
upasuaji ambapo madaktari walisema singeweza tena kufanya tena tendo la ndoa.
Jambo hilo lilinidhofisha sana kimawazo kwani nilikuwa bado barobaro na kwenye
harakati za kutafuta mtoto. Katika vituo vyote vya afya nilivoenda waliniarifu
vile tu kua kufanya tendo la ndoa ingekua ni vigumu.
Nilipatana na Sam ambaye
alikua ni rafiki wangu wa kale pale chuoni, nilimwelezea masaibu yangu
akanielezea kuwa alikua na suluhisho, nalo ni kwenda kwa African Doctors.
Siku iliyofuatia tulienda kwa
African Doctors ambapo nilihudumiwa, baada ya kurejea nyumbani mke wangu alikua
kesharudi jambo ambalo pia lilinishagaza. Usiku ule tulikula uroda naye kwani
ilikua ni muda mrefu tangu kisa kilipotokea. Ama kwa hakika African Doctors
wameisaidia ndoa yetu.
Mke wangu alienda
hospitalini na alipopimwa alipatikana ni mjamzito wa wiki tatu. Yeyote aliye na
matatizo ya ndoa na anahitaji suluhisho la haraka anapaswa kuwatembelea African
Doctors.
Wasiliana na African Doctors kwa namba;
+254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com
Mwisho.
Post a Comment