Kila mwanaume nikimkubalia ananiacha, nifanyaje?
African Doctors wanatatua
shida mbalimbali ambazo tunakutana nazo kila siku kama kumrudisha mpenzi wako,
kupata mtoto, kusafirisha nyota yako, kupà ndishwa cheo kazini, kupata kazi,
kushinda michezo ya bahati nasibu, kumfunga mume au mke asiende nje ya ndoa na
kutambua kuwa mwenzako anakusaliti au hapana kwa muda wa saa 24.
Pia African Doctors
wanatibu magonjwa kama Sukari, Pressure na dawa ya nguvu za kiume, wasiliana na
African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au
watumie email; africandoctorheals@gmail.com
Jina langu naitwa Serina,
umri wa miaka 26, mimi ni msichana mzuri kisura pia kitabia, shida yangu kubwa
ambayo imenifanya niandike ujumbe huu nahitaji kupata ushauri kutoka kwa watu
mbalimbali ili niweze kujua jambo gani la kufanya kwa sababu nimeumia kwa muda
mrefu sana.
Shida kubwa ni tangu nikiwa
na miaka 17, kila nikiwa na uhusiano na mwanaume yeyote tunapendana kwa muda
mchache sana na kuniacha bila mimi kujua wapi nimemkwaza.
Hali hiyo imenitokea kwa
wanaume wengi sana ila mimi sikujali nikidhani mwanaume ndiye mwenye tatizo au
anakuwa siyo chaguo ambalo Mungu amenipangia.
Nilipofikisha miaka 23
nikahitaji mwanaume ambaye nitaweza kufunga naye pingu za maisha kwa sababu
nilikuwa nimeshahitimu Chuo, hivyo nilihitaji mtu wa maisha japo bahati yangu
kubwa nilikuwa natangozwa kila mara ila naachwa bila kujua wapi nakosea kila
mara.
Siku moja nilienda kumtembelea shangazi yangu mkoa wa Tabora ili
niweze badilisha mazingira ya nyumbani maana nilikuwa nimechoka kukaa home.
Nilifika salama na kupokelewa na mtoto wa Shangazi yangu Leaha.
Leaha alikuwa na umri kama
wangu, hivyo tuliweza badilishana story mbalimbali kuhusu wanaume hata vitu
vingine kuhusu maisha.
Watu wengi mtaani walihisi
kuwa mimi na Leaha ni mapacha kutokana na kufanana sana pamoja na jinsi
tulivyokuwa tunapendana. Nikiwa nimemaliza siku saba tu nikiwa mkoa wa Tabora
nikatongozwa na kijana mmoja anaitwa Sharifu.
Kwa mtazamo wa haraka
Sharifu alikuwa ni kijana mwenye sifa ambazo mimi napenda mwanaume kuwa nazo japo sikuweza
kumbukalia nikihofia yale yaliyonitokea kwa wanaume wa kwanza.
Siku zinazidi kusogea na
Sharifu bado anaomba nimkubalie ili tuweze anzisha family wote wawili, pia pesa
ananipatia kila ninapohitaji bila kusita hata mtaani wanamsifu kuwa ni kijana
mzuri, hana sifa yoyote mbaya mtaani hata Shangazi anamjua kwa sasa ila mimi
sijamkubali.
Nahitaji ushauri kwa yoyote
atakayeweza soma story yangu maana sijui kipi nifanye, Sharifu nampenda ila
naogopa nikishaingia katika uhusiano naye, tunaweza kuachana ndani ya muda
mfupi tu.
Mwisho.
Post a Comment