Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Droo ya hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika leo huko Afrika Kusini ambapo Yanga imepangwa kundi D
Katika kundi hilo Yanga itachuana na Al Ahly (Misri), Medeama (Ghana) na CR Belouizdad (Algeria)
Kundi A lina Nouadhibou, TP Mazembe, Mamelodi Sundowns na Pyramids
Kundi B lina Jwaneng Galaxy, Asec Mimosas, Simba na Wydad Athletic
Kundi C lina Etoile Du Sahel, Al Hilal, Petro Atletico na Esperance
Mechi za hatua ya makundi zitaanza kupigwa Novemba 24/25 mwaka huu
Post a Comment