Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc sasa utapigwa siku ya Jumatatu, Oktoba 23 2022 badala ya Jumapili ya Oktoba 22 2023
Bodi ya Ligi imebainisha kuwa mabadiliko hayo yametokana na uwepo wa mchezo wa AFL kati ya TP Mazembe dhidi ya Esperance ambao utapigwa Oktoba 22
Aidha mchezo kati ya Yanga dhidi ya Singida BS sasa utapigwa Oktoba 27 badala ya Oktoba 26
Post a Comment