Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kulingana na maboresho ya ratiba, mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Azam sasa utapigwa uwanja wa Azam Complex, Oktoba 22, 2023
Ratiba ya awali ilionyesha kuwa mchezo huo ungepigwa uwanja wa Benjamin Mkapa ambao unaanza kutumika Oktoba 20 kwenye mechi za AFL
Aidha ndani ya siku 13 Yanga inatarajiwa kucheza mechi tatu dhidi ya Azam Fc, Singida BS na Simba
Baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc, mchezo utakaofuata ni dhidi ya Singida BS nao ukitarajiwa kupigwa Oktoba 26 katika uwanja huohuo wa Azam Complex
Mchezo dhidi ya Simba utapigwa Novemba 05 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Novemba 08 Yanga itasafiri mkoani Tanga kuikabili Coastal Union
Post a Comment