Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumatatu, Oktoba 23 2023, sasa umepelekwa uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya Azam Complex
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amethibitisha mabadiliko hayo
Mapema leo Bodi ya Ligi ilitangaza kusogeza mbele mchezo huo kwa siku moja kutoka Jumapili, Oktoba 22 kwenda Jumatatu huku uwanja ukibaki Azam Complex
Lakini sasa ni rasmi mchezo huo utapigwa dimba la Mkapa kama ulivyo mchezo utakaofuata dhidi ya Singida BS nao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 27
Post a Comment