Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Baada ya kutumia uwanja wa Azam Complex katika mechi za hatua ya awali na raundi ya kwanza ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika, kuanzia hatua ya makundi Yanga itatumia uwanja wa Benjamin Mkapa
Dimba la Mkapa limefanyiwa ukarabati mkubwa ambapo awali ya kwanza ya ukarabati huo utakamilishwa mwishoni mwa wiki
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeupitisha uwanja wa Mkapa kutumika na Yanga kwenye mechi za makundi na kuendelea
Mchezo wa kwanza nyumbani kwa Yanga ni dhidi ya Al Ahly na utapigwa Disemba 02
CAF imethibitisha viwanja 36 vitakavyoweza kutumika kwenye mechi za makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Post a Comment