Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mtanange huu huenda ukapigwa katika uleule uwanja ambao mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho ulipigwa msimu uliopita na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya USM Alger
Disemba 02 Yanga itarejea nyumbani kucheza mechi yake ya kwanza kwa kuumana na mabingwa watetezi CAF CL Al Ahly katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Disemba 09 Yanga itasafiri nchini Ghana kuumana na mabingwa wa nchi hiyo, Medeama Fc na kisha tmu hizo kurudiana jijini Dar es salaam katika mchezo utakaopigwa Disemba 19 2023
February 24 2023 Yanga itakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kumalizana na CR Belouizdad na Wananchi watakwenda kukamilisha hatua ya makundi March 02 kwa mchezo dhidi ya Al Ahly
Mkakati wa Yanga ni kuhakikisha inavuna alama zote tisa nyumbani na kwenda kusaka angalau alama mbili ugenini
Hata hivyo Yanga imekuwa na rekodi bora katika mechi zake za ugenini, hii inaweza kuwa silaha muhimu katika kusaka tiketi ya kutinga robo fainali
Post a Comment